Alichokisema Diamond Platinumz baada ya mashabiki kumshambulia Zari

Diamond Platnumz ametoa kauli ya kwanza baada ya mama watoto wake ‘Zari The Boss Lady’ kuandamwa sana IG Kuhusu kutoonyesha uzuni,majonzi kwenye msiba wa mama yake, kusahau mapema sana msiba na kuendelea kula bata.
Ujumbe mkali wa Diamond Platnumz kwa wanaomuandama Zari kuhusu Msiba wa Mama Yake Ulisema…Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu…. Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!…sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia… Pambaneni na Mahusiano yenu…! Nina siku 5 za kumpetipeti… leo ndio kwanza Ya kwanza 😛

Hakuna maoni